Site icon Sports Leo

Simba Sc Waichapa Chipukizi

Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya timu ya Chipukizi Fc katika mchezo wa kombe la mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Amani visiwani Zanzibar.

Wenyeji walikua wa kwanza kupata bao dakika ya 36 lakini mabao mawili ya Miraji Athumani dakika za 52 na 82 huku Meddie Kagere akifunga bao la kusawazisha dakika ya 44.

Simba sc itakutana na Mtibwa Sugar katika mchezo mwingine jumamosi ya tarehe 9 mchezo unaotarajiwa kuwa wa ushindani mkali.

Exit mobile version