Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Fc Platnum ya nchini Zimbabwe katika mchezo wa mtoano ligi ya mabingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa taifa wa Harare nchini Zimbabwe.
Perfect Chikwande aliwazidi kasi mabeki wa Simba sc Pascal Wawa na Joash Onyango na kufunga bao dakika ya 17 lililodumu mpaka mwisho wa mchezo na kufanya sasa Simba sc kusubiri mchezo wa hatua ya Marudiano jijini Dar es salaam.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.