Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga sc David Mwakalebela amefutiwa adhabu ya kutyojihusisha na soka kwa muda wa miaka mitano iliyokuwa amepewa na shirikisho la soka nchini(TFF).
Adhabu hiyo imefutwa mapema leo baada ya kamati ya maadili ya shirikisho hilo kukutana na kufanya marejeo ya hukumu hiyo na hatimaye kuamua kumfutia adhabu hiyo baada ya Mwakalebela kukiri makosa hayo.
Barua iliyotolewa na shirikisho hilo inasomeka kama ifuatavyo;