Waamuzi Elly Sasii, Sudi Lila na Mbaraka Haule wanafungiwa miezi mitatu kwa kosa la kutokuumudu mchezo uliochezwa Juni 21, 2020 katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Mechi hiyo namba 300 iliyowakutanisha Young Africans SC Vs Azam FC ambayo iliisha suluhu huku mwamuzi akikataa mabao mawili ya wazi ya Azam fc pamoja na penati ya klabu ya Yanga makosa yaliyoifanya Tff kutoa Adhabu hii kulingana na uzingativu wa kanuni ya 39(1) kuhusu udhibiti wa waamuzi.
🎯 Usipitwe!
Kuwa wa kwanza kupata habari za moto za michezo nchini Tanzania na duniani kwa ujumla, moja kwa moja kwenye barua pepe yako kutoka SportsLeo Bongo!
- ✅ Matokeo ya mechi
- ✅ Uchambuzi wa kina
- ✅ Habari za ndanii ya timu zako pendwa
✉️ Quality content, no spam. Unsubscribe anytime.