Home Soka TPLB Yapiga Spana Viwanja 7

TPLB Yapiga Spana Viwanja 7

by Sports Leo
0 comments

Bodi ya Ligi kuu Tanzania bara (TPLB) imevifungia viwanja saba kutumika kwa michezo ya ligi kuu na ligi daraja la kwanza mpaka vitakapofanyiwa marekebisho mbalimbali.

Bodi hiyo yenye mamlaka kamili ya kusimamia ligi kuu Tanzania bara imevifungia viwanja vya Ccm Mkwakwani uliopo Tanga,Uwanja wa majimaji uliopo Songea,uwanja wa sabasaba uliopo Njombe,Ali Hassani Mwinyi uliopo Tabora pamoja na uwanja wa Kipija uliopo Mbeya,Uwanja wa Nangwanda Sijaona uliopo Mtwara na Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Sababu kuu ya kufungia viwanja hivyo ni ubovu wa sehemu ya kuchezea pamoja na vyumba vya kubadilishia nguo.

banner

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited