Site icon Sports Leo

Yanga Yapaa Tabora Kuwavaa Biashara

Klabu ya Yanga sc alfajiri ya leo imenza safari kuelekea mkoani Tabora kuwavaa timu ya Biashara United katika mchezo wa kombe la shirikisho nchini la Azammchezo utakaofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo.

Kikosi hicho kilichoondoka kina mastaa wpte isipokua Lamine Moro na Metacha Mnata waliosimamishwa kutokana na masuala ya nidhamu huku Michael Sarpong,Abdala Shaibu na Balama Mapinduzi wakiachwa kutokana na kuwa majeruhi wakati Ditram Nchimbi akiungana na kikosi baada ya kuwa na msiba.

Exit mobile version