AFC Leopard imemuongezea mkataba mpya wa miaka miwili beki,Washington Munene ambaye alikuwa nyota wa zamani wa Nairobi Stima. Munene aliingia kambini mwa Leopard mwanzoni mwa msimu wa 2019/2020 baada ya …
Tag:
afc leopards
-
-
AFC Leopard ya kenya imekamikisha usajili wa mshambuliaji,Harrison Mwendwa kutoka Kariobangi Sharks kwa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo miaka miwili. Leopard wamekuwa wakifanya usajili wao kimyakimya na kwa umakini wa …