Timu ya taifa ya Comoro imetolewa katika michuano ya Afcon 2022 nchini Cameroon baada ya kukubali kichapo cha mbao 2-1 kutoka kwa wenyeji Cameroon licha ya Comoro kucheza kwa muda …
AFCON2021
-
-
Timu ya Taifa ya Morocco maarufu kama simba wa Atlas wamefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya mtoano ya michuano ya kombe la Mataifa Afrika(AFCON) linaloendelea nchini Cameroon. Morocco wamefanikiwa baada …
-
Wenyeji wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika Cameroon wamekuwa wa kwanza kutinga hatua ya mtoano wa michuano hiyo baada ya hapo jana kupata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wahabeshi …
-
Katika hali ya kushangaza mwamuzi wa kati wa Kimataifa wa Zambia mwenye uzoefu mkubwa Janny Sikazwe amefanya maamuzi yaliyowaacha wadau wengi wa soka midomo wazi baada ya kumaliza mpira dakika …
-
Michuano ya kombe la Mataifa Afrika(AFCON) imeendelea jana nchini Cameroon kwa michezo kadhaa kupigwa siku ya jana huku miamba mikubwa ikishuka dimbani. Mabingwa watetezi wa michuano hiyo timu ya Taifa …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefungwa bao 1-0 na Tunisia katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika(Afcon 2021) katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Olympique …