Klabu ya Simba sc imewasili nchini Zimbabwe kuelekea mchezo wa kufuzu michuano ya klabu bingwa barani ulaya dhidi ya Fc Platnum ya nchini humo utakaofanyika siku ya Jumatano. Simba sc …
Tag:
afrika
-
-
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino Tinampay lililofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es …
-
Kufuatia shirikisho la soka duniani(Fifa) kutoa viwango vya mwezi oktoba timu ya taifa ya Tanzania imepanda viwango kwa nafasi mbili zaidi hadi 133 kutoka nafasi ya 135 ya mwezi Septemba. …
-
Timu ya Simba sc imetolewa katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kukubali kutoa sare ya 1-1 na timu ya Ud Songo kutoka Msumbuji katika mchezo wa marudiano …