Kiungo wa klabu ya Simba, Sharaf Eldin Ali Shiboub amegoma kurejea Tanzania kujiunga na Simba kwa madai ya kutotimiziwa mahitaji yake binafsi Viongozi wa Simba wanajua Shiboub ameshindwa kurejea nchini …
afrisoka
-
-
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungia Bernard Morrison (Yanga) na Jonas Mkude (Simba) kila mmoja mechi mbili pamoja na faini ya shilingi lakini tano (500,000) kutokana na vitendo ambavyo si …
-
Timu ya Jang’ombe Boys ipo tayari kujitoa Ligi Kuu Zanzibar kutokana na ukata wa fedha, timu hiyo haijaanza hata mazoezi kwa sababu haina fedha za uendeshaji. Juni 24 ligi kuu …
-
Timu ya Real Madrid jana iliibuka na ushindi wa magoli 3-0 Â dhidi ya Valencia katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania (La liga) mchezo uliofanyika katika uwanja wa Alfred Di …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga rasmi umepeleka malalamiko Shirikisho la soka nchini (TFF) kuhusu kushawishiwa winga wake Bernard Morrison kujiunga na klabu nyingine kinyume Cha sheria,ili haki itendeke na hatua …
-
Klabu ya Azam fc imeendelea kuipigania nafasi ya pili ya ligi kuu Tanzania bara baada ya jana kuifunga timu ya Mbao fc mabao 2-0 na kuendelea kusalia nafasi ya pili …
-
Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc mchezo wa Ligi Kuu nchini Tanzania bara uliochezwa katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Bao la …
-
Dirisha la usajili la wachezaji wapya na wa zamani litaanza rasmi Agosti mosi mpaka 31 kwa mujibu wa taarifa kutoka shirikisho la soka Tanzania(Tff). Kwa mujibu wa Taarifa hiyo msimu …
-
Sintofahamu imeibuka katika klabu ya Yanga sc baada ya staa wa timu hiyo Benard Morrisson kutosafiri na timu huku ripoti zikidai kwamba staa huyo amezima simu. Taarifa za ndani zinadai …
-
Mkurugenzi wa utawala na udhibiti wa Sportpesa Tanzania Abbas Tarimba amesema mwaka huu (2020) hakutakuwa na Mashindano ya Sportpesa kutokana na kuyumba kwa uchumi wa kampuni hiyo kulikotokana na mlipuko …