Timu ya Namungo Fc imeamua kuachana na masta waliokua wakiitumikia klabu hiyo kwa Mkopo kutoka Simba sc Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba kutokana na kuonyesha utovu wa nidhamu uliokithiri. Awali …
afrisoka
-
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga David Molinga amegoma kusafiri na timu kwenda mkoani Shinyanga kucheza na Mwadui kwa kudai kuwa timu hiyo inapendelea baadhi ya wachezaji. Molinga amelalamika kwa madai …
-
Klabu ya Man utd imeanzisha mazungumzo na Ajax juu ya kumsajili kiungo Donny Van De Beek kutokana na taarifa nchini Uholanzi. Awali iliripotiwa kwamba Real Madrid imekubaliana na Ajax kiasi …
-
Shirikisho la Soka nchini (Tff) limezuia mecho zote za kirafiki za ligi kuu na ligi za daraja la kwanza nchini mpaka hapo litakapotoa utaratibu mpya ili kuzuia maambukizi ya Virusi …
-
Timu ya Simba sc leo imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya timu ya manispaa ya Kinondoni(Kmc) katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Mo Simba Arena bunju …
-
Alfred Raul ambaye ni wakala wa mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Yacouba Sogne amethibitisha kuwa Nyota huyo wa zamani wa Asante Kotoko ya Ghana atajiunga na Klabu ya Yanga …
-
Sasa ni rasmi klabu ya Yanga imemkosa kiungo mkabaji raia wa Rwanda Ally Niyonzima baada ya kiungo huyo kuamua kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Kiyovu Stars inayoshiriki …
-
Bodi ya ligi nchini(TPLB) Â imetoa shilingi milioni moja (1,000,000) kwa klabu za ligi daraja la kwanza na daraja la pili ili ziwasaidie kumalizia msimu wa 2019/20 unaorejea rasmi kuanzia Juni …
-
Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga Mkongo Mwiny Zahera amekataa kazi ya kuifundisha klabu ya Township Roller ya nchini Botswana baada ya kutofahamu kuzungumza lugha za kiingereza. Zahera ambaye …
-
WAKILI Ambrose Rachier ambaye ni mwenyekiti wa Gor Mahia, amesema miamba hao wa soka ya nchini humo wanapitia hali ngumu zaidi ya kifedha na wameshindwa kulipa mishahara ya wachezaji wao …