Kocha Mkuu wa timu ya Simba sc Sven Vandebroekamemtimua kambini kiungo mshambuliaji wake Ibrahim Ajibu kutokana na kosa la kuchelewa kambini. Wachezaji wa Simba waliripoti kambini Mei 27 ambapo walipofika …
ajibu
-
-
Uongozi wa Simba wamemruhusu kiungo wao, Ibrahim Ajibu kuondoka muda wowote atakaohitaji na kwenda kujiunga na klabu yoyote itakayomuhitaji baada ya uongozi huo kupata taarifa zilizozagaa kuwa mchezaji huyo anataka …
-
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajibu Migomba amesema kuwa hakukurupuka kujiunga na klabu ya Simba sc na kukataa ofa nono ya klabu ya Tp Mazembe ya Lububumbashi nchini …
-
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahimu Ajibu ameshangazwa na kauli za kocha mkuu wa timu hiyo Sven Vandebroek kuwa hajitumi na ndio maana hapati nafasi mara kwa mara katika …
-
Kocha wa Simba sc Sven Vandenbroeck amefunguka sababu hasa ya kuwaweka benchi mastaa wa timu hiyo hasa Ibrahim Ajibu na Shiza Kichuya kuwa ni kutokana na kushindwa kumshawishi anapowapa nafasi. …
-
Staa wa klabu ya Simba Ibrahimu Ajibu hatakua sehemu ya kikosi cha timu kinachoshuka dimbani jioni ya leo kupambana na Lipuli Fc mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Samora mjini Iringa. …
-
Klabu ya Simba imeendeleza wimbi la ushindi baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 4 bila dhidi ya Mbeya city Fc katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja …
-
Mshambuliaji hatari wa Simba sc Meddie Kagere amemaliza ubishi wa kocha wa Kagera sugar Mecky Mexime baada ya kuisaidia Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Kagera sugar …
-
Rasmi imethibitishwa nyota wawili wa klabu ya Simba sc Ibrahimu Ajibu na John Boko wataukosa mchezo wa kalbu bingwa Afrika dhidi ya Ud songo y Msumbiji baada ya wawili hao …
-
Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Ajibu Migomba yuko hatarini kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Kenya Jumapili mjini Nairobi kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika …