Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajib ameamua kutoa ufafanuzi kuhusu suala ya kutojiunga na timu ya Tp Mazembe ya kongo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili …
ajibu
-
-
Simba sc tayari imeshamalizana na Mshambuliaji Ibrahim Ajibu na muda wowote anaweza kutambulishwa rasmi baada ya mkataba wake na Yanga sc kufika tamati hivi leo june 30. Inadaiwa kuwa iliwalazimu …
-
Mshambuliaji wa Mbeya City Fc Eliud Ambokile amejiunga na wababe wa soka la Afrika kutoka Kongo Tp Mazembe kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Black Leopard ya Afrika ya Kusini …
-
Taarifa za ndani ya klabu ya Simba Sc zinadai kuwa aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Ibrahimu Ajibu Migomba tayari amesaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo kwa misimu miwili …
-
Staa wa soka la Tanzania Ibrahim Ajib Migomba bado hajaeleweka wapi atakipiga msimu ujao baada ya kushindwa kufikia muafaka na matajiri wa kongo Tp Mazembe ambao iliaminika atajunga nao baada …