Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa stars) imekubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Algeria katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon mwakani zitakazofanyika nchini Ivory Coast. Katika mchezo …
Algeria
-
-
Timu ya Taifa ya Cameroon imefanikiwa kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar mwakani baada ya kufanikiwa kuifunga Algeria mabao 2-1 ugenini katika uwanja wa Mustapha Tchaker. Cameroon iliingia mchezoni ikiwa …
-
Aliyekuwa kiungo wa Simba Sc, Sharaf Shiboub ameamua kutimkia zake Algeria na kujiunga na klabu ya Cs Constantine inayoshiriki ligi kuu nchini humo. Shiboub amejiunga na klabu hiyo yenye mtaji …
-
Timu ya taifa ya Algeria imetwaa ubingwa wa kombe la mataifa ya Afrika baada ya jana kuifunga Senegali 1-0 katika mchezo wa fainali uliofanyika katika uwanja wa kimataifa wa Cairo. …
-
Hatimaye baada ya miaka 17 kupita timu ya taifa ya Senegal imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika baada ya jana kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi …
-
Timu za soka za Tanzania na Kenya zimeanza vibaya mechi za ufunguzi za kombe la mataifa ya Afrika baada ya zote kukubali kipigo cha mabao mawili kwa bila dhidi ya …