Dodoma Fc imefanikiwa kunasa saini ya kiungo aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwa mda mrefu,Cleofas Mkandala kutoka TanzaniaPrisons. Afisa habari wa Dodoma Fc,Ramadhani Juma amesema kuwa baada ya dirisha kubwa …
Tag:
alliance
-
-
Straika Mnamibia wa klabu ya Yanga Sadney Urikhob ambaye inadaiwa ametoweka klabuni hapo ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam. Awali baadhi …
-
Timu ya Alliance Fc imefikia makubaliano na kocha Athuman Bilali “Bilo”kuifundisha timu hiyo kwa kumpa mkataba wa miaka miwili ili kuongoza benchi la ufundi la timu hiyo yenye makazi yake …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumsaini kiungo wa klabu ya Alliance ya Mwanza Balama Mapinduzi kwa mkataba wa miaka mitatu ili kuwasaidia katika msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara …