Baada ya kufungwa mchezo wa mwisho na Mbao fc,Klabu ya Simba sc imerejesha furaha kwa mashabiki baada ya kuifunga klabu ya Alliance fc mabao 5-1. Katika mchezo huo mabao ya …
alliance fc
-
-
Timu ya Namungo iliyovunja rekodi ya Tanzania Prisons kwa kuwapa kichapo cha mabao 3-2 kwenye mchezo wa ligi imejiandaa kuwapa dozi Mbao Fc kwenye mchezo ujao wa ligi kuu nchini. …
-
Uongozi wa Alliance Fc umeendelea kutoa tuzo kwa wachezaji wake ili kungeza morali ya wachezaji kufanya vizuri kenye mechi zao za ligi kuu bara. Wachezaji waliopokea tuzo jana kwa kufanya …
-
Simba imeibuka na ushindi katika uwanja wa CCM Kirumba kwa kuwafunga Alliance Fc mabao 4-1 na kuweza kutimiza ndoto yao ya kunyakua pointi sita za kanda ya ziwa. Alliance Fc …
-
Simba wamerudi tena jijini Mwanza katika uwanja wa CCM Kirumba katika mechi yake dhidi ya Alliance wakisimamiwa na kocha wao mkuu Sven Vanderbroeck raia wa Ubelgiji. Alliance iliyochini ya Felix …
-
Kwa sasa ukizungumzia wachezaji wanaofanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga hutaacha kutaja jina la kiunga mshambuliaji Deus Kaseke Tangu Mkwasa akabidhiwe majukumu ya kuinoa Yanga mapema mwezi huu, Kaseke amejihakikishia …
-
Mabao ya Patrick Sibomana na David Molinga yalitosha kuipa ushindi Yanga katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Alliance uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba Mwanza. Mabao ya dakika …
-
Klabu ya soka ya Azam fc imeiwashia moto klabu ya Allince baada ya kuifunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Nyamagana jioni ya …
-
Kiungo fundi wa klabu ya Yanga sc Balama Mapinduzi ataukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance baada ya kushindwa kupona jeraha la nyonga alilolipata wakati wa mchezo uliopita dhidi …
-
Nyota wa Yanga kijana Mapinduzi balama sasa wanamuita “kipenseli” ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Iringa. ni moja kati ya wachezaji wenye viwango bora kabisa nchini. Mchezaji huyu ni moja …