Wakati ikiivaa Jkt Tanzania leo klabu ya Yanga imepata ahueni baada ya beki raia wa Ghana Lamine Moro kurejea baada ya kuwa majeruhi kwa wiki kadhaa. Lamine aliumia wakati wa …
Tag:
ally ally
-
-
Maumivu ya goti aliyoyapata beki wa Yanga Ally Ally yamemfanya atolewe kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Township Rollers jijini Gaborone Botswana. Beki huyo mfupi mwenye uimara katika kucheza …