Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kusalia ligi kuu ya Uingereza baada ya timu yake ya Aston Villa kutoa sare ya 1-1 dhidi ya Westham United. …
aston villa
-
-
Klabu ya Aston Villa ya Uingereza anayoichezea mtanzania Mbwana Samatta imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Arsenal na kufufua matumaini ya kutoshuka daraja nchini humo. Bao hilo la …
-
Klabu ambayo nyota Mtanzania,Mbwana Samatta anaichezea nchini England,Aston Villa imepoteza matumaini ya kubaki ndani ya Ligi kuu England baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Everton. Aston Villa walianza …
-
Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Crystal Palace,Wilfried Zaha amesema kuwa amepokea jumbe mbili ambazo zinaeleza kuhusu ubaguzi wa rangi wakati wa kuifuata Aston Villa mchezo wa Ligi Kuu England …
-
Mshambuliaji mtanzania Mbwana Samatta ameisaidia klabu ya Aston Villa kuibuka na ushindi wa mbao 2-0 dhidi ya Crystal Palace mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza. Mahmoud Hassan Trezeguet alikua kinara …
-
Manchester United imeibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Aston Vila mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Vila Park. Mabao ya Man utd yaliwekwa na …
-
Ron Smith ambae ni Baba Mzazi wa kocha wa Aston Villa Dean Smith afariki Dunia hii leo baada ya kuugua Corona kwa muda wa wiki nne huku pia akisumbuliwa na …
-
Kundi la vilabu vya ligi kuu vimepanga kufanya mazungumzo na vikosi vyao vya polisi wiki hii kwa matumaini ya kuwa wazo la kutumia viwanja ambavyo ni tofauti na viwanja vyao …
-
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania ,Mbwana Samatta anayecheza ndani ya Aston Villa ya England pamoja na wenzake watakatwa mshahara kwa asilimia 25 kwa miezi minne ili kuinusuru klabu yao kiuchumi …
-
Licha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya klabu ya Manchester City,Staa wa timu ya Aston Villa na Timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania …