Supastaa wa Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa na shughuli nzito kesho ya Kukiongoza kikosi cha ushambuliaji wa Aston Villa kukabiliana na Manchester City chini ya kocha wake muhispaniola ,Pep Guardiola kwenye …
aston villa
-
-
Wachezaji wa Aston Villa wakiongozwa na Jack Grealish, Tyrone Mings na Ezri Konsa wameshtushwa na kasi inayooneshwa na Mbwana Samatta katika mazoezi ya klabu hio katika uwanja wa Bodymoor. Akizungumza …
-
Mshambuliaji wa kitanzania Mbwana Samata jana aliisaidia klabu yake mpya ya Aston Villa kutinga fainali ya michuano ya Carabao Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya …
-
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayekipiga Klabu ya Aston Villa amesema kuwa uwepo wake Aston Villa ataungwa mkono na watanzania wengi kwani ni mtanzania wa kwanza …
-
Mchezaji mpya wa Aston Villa aliyesajiliwa kwa dau la pauni milioni 8.5 akitokea KRC Genk Mbwana Ally Samatta ameanza mazoezi rasmi kwenye kikosi chake kipya. Mbwana Samatta ameweka rekodi ya …
-
Timu ya Uingereza Aston Villa imewapa kichapo Watford cha mabao 2-1 katika uwanja wa Villa Park huku mchezo ukisimamiwa na refa kutoka England Martin Atkinson. Watford walianza kujipatia bao la …
-
Aston Villa wamefanikiwa kumsajili Mbwana Samatta kwa mkataba wa miaka minne na nusu ambapo ataitumikia klabu hiyo hadi mwezi Juni 2024 kwa ada ya pauni milioni 8.5 Mbwana Samatta atakuwa …
-
Nyota mpya wa Aston Villa Mbwana Samatta amewashukuru sana watanzania na watu wote waliokuwa wakimuombea mema aweze kupita katika usajili huo na ameahidi kuendelea kupambana kwani alipofikia ni suala la …
-
Mchezaji wa kitanzania ambaye anacheza ndani ya Taifa Stars na KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta amekamilisha usajili wa kuichezea timu ya England Aston Villa kwa mkataba wa miaka minne …
-
Baada ya kukaribia kukamilisha usajili kwenda klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imesadika kuwa mauzo ya mchezaji huyo yataifaidisha klabu ya Simba ambayo aliichezea staa huyo kabla …