Griezman Aifungia Atletico Madrid mabao 200 Katika uwanja wa Civitas Metropolitano, Antoine Griezmann aliweka historia ambayo itadumu katika vitabu vya rekodi za klabu ya Atletico Madrid. Tukio hilo lilitokea katika …
Atletico Madrid
-
-
Inter Miami kumsajili Rodrigo De Paul kwa dau la $15m, kiungo mahiri wa Argentina, kutoka Atletico Madrid. Hatua hii inaashiria nia thabiti ya klabu ya David Beckham kuendelea kuimarisha kikosi …
-
Klabu ya Manchester united imeondoshwa nje ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0 na Atletico Madrid ya nchini Hispania na kuondolewa katika michuano kwa jumla …
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya dhidi ya klabu ya Atletico Madrid katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Wanda Metropolitano …
-
Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA Champion League wamezidi kuwasha moto katika michuano msimu huu wa 2020/2021 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atletico Madrid …
-
Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid. Suarez ametumia miaka sita ndani ya Barcelona ambapo amecheza jumla ya mechi 283 …
-
Beki wa kushoto wa Atletico Madrid ya Hispania ambaye ni raia wa Brazil,Renan Lodi amethibitika kukutwa na virusi vya Corona. Lodi alianza kuonesha dalili za kuwa na virusi vya Corona …
-
Atletico Madrid wanaimani ya kumpamkataba mpya kiungo wao mkabaji ,Thomas Partey ambaye yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na kocha wa Arsenal ,Mikel Arteta. Msimu wa hivi karibuni kabla ya …
-
Wachezaji wa klabu ya Atletico Madrid wamekubali kukatwa asilimia 70 ya mishahara yao huku kocha wao Diego Simeone mshahara wake utapunguzwa kwa kiasi cha Pauni Milioni 22.6 kutoka 32.6 . …
-
Ndio msemo rahisi kuusema kwa sasa baada ya jana Liverpool kushindwa kuonyesha ubabe mbele ya Atletico Madrid baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa klabu bingwa barani …