Klabu ya Manchester united imeondoshwa nje ya michuano ya klabu bingwa barani ulaya baada ya kufungwa bao 1-0 na Atletico Madrid ya nchini Hispania na kuondolewa katika michuano kwa jumla …
Atletico Madrid
-
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuondoka na alama moja katika mchezo wa klabu bingwa barani ulaya dhidi ya klabu ya Atletico Madrid katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Wanda Metropolitano …
-
Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA Champion League wamezidi kuwasha moto katika michuano msimu huu wa 2020/2021 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atletico Madrid …
-
Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid. Suarez ametumia miaka sita ndani ya Barcelona ambapo amecheza jumla ya mechi 283 …
-
Beki wa kushoto wa Atletico Madrid ya Hispania ambaye ni raia wa Brazil,Renan Lodi amethibitika kukutwa na virusi vya Corona. Lodi alianza kuonesha dalili za kuwa na virusi vya Corona …
-
Atletico Madrid wanaimani ya kumpamkataba mpya kiungo wao mkabaji ,Thomas Partey ambaye yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na kocha wa Arsenal ,Mikel Arteta. Msimu wa hivi karibuni kabla ya …
-
Wachezaji wa klabu ya Atletico Madrid wamekubali kukatwa asilimia 70 ya mishahara yao huku kocha wao Diego Simeone mshahara wake utapunguzwa kwa kiasi cha Pauni Milioni 22.6 kutoka 32.6 . …
-
Ndio msemo rahisi kuusema kwa sasa baada ya jana Liverpool kushindwa kuonyesha ubabe mbele ya Atletico Madrid baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 katika mchezo wa klabu bingwa barani …
-
Kinda wa klabu ya Atletico Madrid Joao Felix ametwaa tuzo ya mchezaji bora kwa wenye umri chini ya miaka 21 barani ulaya(Golden boy) akiwashinda mastaa kibao akiwemo Jadon Sancho wa …
-
Klabu ya Barcelona imetozwa faini ya kiasi cha Euro 300 na shirikisho la soka la Hispania baada ya kuvunja sheria wakati wa usajili wa mshambuliaji Antoine Griezman kutoka Atletico Madrid …