Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho amerejea rasmi kikosini baada ya kukosekana katika michezo mitatu baada ya kufungiwa na bodi ya ligi kuu nchini kwa kosa la kumpiga …
Aucho
-
-
Kiungo wa Yanga sc Khalid Aucho maarufu kama Daktari wa mpira atakosa michezo yote miwili ya fainali ya kombe la shirikisho barani Africa baada ya kupata kadi 6 za njano …
-
Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho na mshambuliaji Emmanuel Okwi ni miongo mwa wachezaji 30 walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda kitakachoingia kambini hivi karibuni kwa ajili ya …
-
Taarifa kutoka klabu ya Yanga sc zinasema kuwa kiungo Khalid Aucho atakosekana kwa muda wa wiki moja kufuatia kupata majeraha ya mguu baada ya kufanyiwa vipimo kwa kina na kugundulika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kumuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo wake Khalid Aucho kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya mkataba wa awali kuelekea ukingoni mwishoni mwa msimu huu wa …
-
Kiungo wa klab ya Yanga, raia wa Uganda Khalid Aucho ameweka bayana Kuwa anahitaji kuondoka Klabuni hiyo iliyopo mitaa ya Twiga na Jangwani na hii ni baada ya kupokea ofa …
-
Kikosi kamili cha klabu ya Yanga sc sasa kimerejea baada ya kocha msaidizi Cedrick Kaze kutangaza kwamba mastaa Khalid Aucho na Feisal Salum wanarejea kuivaa Namungo katika mchezo wa ligi …
-
Kiungo Khalid Aucho ambaye alikua na majeruhi kwa wiki kadhaa tayari amerejea kikosini Yanga sc ambapo ameonekana akifanya mazoezi na wenzake baada ya kumaliza programu ya utimamu wa mwili. Kiungo …
-
Kiungo wa kimataifa wa Uganda na klabu ya Yanga Khalid Aucho atawasili nchini hii leo akitokea Uganda ambako alikwenda kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes). Aucho …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Khalid Aucho amepona majearaha yake na sasa ataungana na timu yake katika maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc utakaofanyika katika …