Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutoka Rwanda ambaye alikuwa akicheza ndani ya Yanga Sc, Ally Niyonzima kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa akicheza Rayon Sports …
azam
-
-
Wakati Yanga Sc ipo kwenye anga ya kufanya maboresho ya kikosi chake ili kuwa na ushindani kwenye namba zote kuanzia kipa mpaka wachezaji wa ndani, vita yao sasa inaongezewa makali …
-
Unamkumbuka mshambuliaji wa zamani wa Simba sc na Kagera sugar?ambaye alitamba kisha akasajiliwa Azam fc? Baada ya kuwa nje ya dimba takribani mwaka mmoja akiuguza majeraha ya goti, mshambuliaji wa …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) Emmanuel Amunike amemuita kikosini beki wa Azam Fc David Mwantika kwenda kuchukua nafasi ya mchezaji mwenzake wa klabu hiyo Aggrey Morris …
-
Beki kiraka wa Simba sc Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo kwa miaka miwili ijayo baada ya mkataba wa awali kufikia tamati mwishoni mwa mwezi …
-
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu. Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc …
-
Baada ya kumkosa kocha wao kipenzi Ettiene Ndayiragije ambae taarifa zinadai amemalizana na Azam Fc timu ya Kmc imeamua kumpa mkataba kocha Selemani Matola ili kuziba nafasi ya Mrundi huyo …
-
Timu ya Yanga imepata bahati ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani Afrika mwakani baada ya kumaliza nafasi ya pili ya ligi kuu bara.Timu hiyo itaungana na Simba katika michuano …