Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga Juma Balinya amesajiliwa na timu ya Gor Mahia, mabingwa wa ligi kuu ya Kenya. Gor Mahia imemsajili Balinya baada ya kujiridhisha na uwezo wake hasa baada …
balinya
-
-
Klabu ya Yanga imvunja mkataba na mshambuliaji Juma Balinya baada ya pande mbili kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba huo wa miaka miwili uliosainiwa miezi sita iliyopita. Balinya aliyekuwa mfungaji bora …
-
Timu ya Yanga sc jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal union katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na ligi kuu Tanzania bara iliyosimama kwa ajili ya …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera amesema sababu kubwa ya kutomtumia mshambuliaji wake Juma Balinya katika mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika ni …
-
Imefahamika kwamba mganda Juma Balinya na Sadney Urikhob ndi wataongoza safu ya ushambuliaji ya Yanga kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi Township Rollers ya Botswana uwanja wa taifa jijini …
-
Hatimaye kocha mkuu wa Yanga sc Mwinyi Zahera ametua nchini leo alfajiri akitokea nchini Ufaransa alipokua na mapumziko baada ya kutoka katika michuano ya Afcon na timu ya taifa ya …
-
Mshambuliaji wa Yanga sc Mganda Juma Balinya (JB) ni kama ameuwasha moto huko kambini Morogoro ambako kikosi hicho kimeweka kambi ya kujiandaa na msimu wa ligi kuu na michuano ya …
-
“Jangwani kumekucha” ndio msemo unaoweza kuutumia kuelezea mishemishe za usajili zinazoendelea katika klabu hiyo yenye makao makuu Jangwani Kariakoo Dar es salaam baada ya kuendeleza vurugu za usajili ili kujihakikishia …