Lionel Messi ambaye ni mchezaji namba moja aliyeifungia mabao mengi Barcelona amerejea mazoezini jana baada ya jaribio lake la kulazimisha kuondoka kushindikana. Kufika kwa muargentina huyo na kufanya mazoezi inakuwa …
barca
-
-
Manchester United imeingia anga za Barcelona tayari kulipa pauni milioni 153 ili kupata saini ya, Ansu Fati ili ajiunge na kikosi hicho. Fati ameichezea Barcelona jumla ya mechi 33 kwenye …
-
Rais wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kusajiliwa kwa mchezaji wao wa zamani Ronald Koeman kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Koeman kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya …
-
Tetezi huko Hispania zinaeleza kuwa nyota wa kimataifa,Lionel Messi ametangaza kutimka zake Barcelona na tayari ameshawaeleza mabosi wake. Sababu kubwa inayomfanya mshambuliaji huyo kutaka kuondoka ni kutokana na udhalilishwaji wa …
-
Klabu ya Barcelona imeshushwa katika msimamo wa ligi kuu nchini Hispania baada ya jana kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Atletico Madrid baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2. Barca …
-
Licha ya kumiliki mpira kwa asilimia 68 Barcelona wameshindwa kuibuka na ushindi walipoitembelea Sevila jana katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania (La liga). Barca walifanikiwa kupiga mashuti matatu pekee …
-
Klabu ya Barcelona wameifunga Real Mallorca mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa Mallorca jana nchini Hispania. Artulo Vidal alifunga bao la kwanza baada ya sekunde …
-
Taarifa za ndani ya Klabu zinadai kuwa baadhi ya mastaa wa klabu hiyo walikutwa na Virusi vya homa ya mapafu(Corona) japo haikuwa imewaathiri kiasi cha kutoonyesha dalili zozote zile. Taarifa …
-
Rais wa zamani wa Barcelona, Joan Laporta anampango wa kumrudisha aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo,Pep Guardiola ambaye yupo Man City kwa sasa. Laporta ambaye yupo mbioni kuwania kiti …
-
Mabingwa wa La Liga,Barcelona siku ya jana walirejea kwenye uwanja wao wa mazoezi uliopo katika mji mkuu wa Catalan wakiwemo Lionel Messi ,Luis suarez na wachezaji wengine wa Barca. Barca …