Barcelona Yafungwa na Sevilla Aibu: Mzigo Mzito wa Kwanza kwa Flick Jioni ya joto kali kule Seville, Hispania, iligeuka kuwa jioni ya aibu na soni kwa miamba ya soka kutoka …
Barcelona
-
-
Sergio Busquets Astaafu Soka rasmi! Mtaalam wa soka, kiungo fundi na nahodha wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania, Sergio Busquets, ameamua kufanya maamuzi magumu. Nyota huyu …
-
Assist ya Yamal Yaikomboa Barcelona: Jinsi Gani Mchezaji Huyo Mchanga Alivyobadili Mchezo na Kuwaokoa Blaugrana Katika uwanja wa Estadi OlÃmpic LluÃs Companys, kulifanyika tukio la kishujaa ambalo litakumbukwa kwa muda …
-
Lamine Yamal Awa Mchezaji Bora Chipukizi Duniani – Yamal atwaa Kopa Trophy tena! Nyota chipukizi wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uhispania, Lamine Yamal, amedhihirisha kwa mara nyingine …
-
Hofu Kubwa Catalunya: Barcelona kumkosa Gavi kwa miezi 5! Klabu ya soka ya FC Barcelona imeingia katika kipindi cha hofu na wasiwasi mkubwa kufuatia kuthibitishwa kwa jeraha baya la kiungo …
-
Pau Victor Akitimkia Braga kwa €15m. Miaka kadhaa iliyopita, vijana wengi barani Afrika, hasa Tanzania, walitamani kucheza soka la kulipwa Ulaya. Waliiota miamba kama Barcelona, klabu ambayo imejenga majina makubwa …
-
Barcelona ni klabu yenye historia ndefu na tajiri ya wachezaji mahiri waliojivisha jezi namba 10, Lamine Yamal apewa jezi namba 10. Â Jezi ambayo imekuwa ikibeba uzito mkubwa wa matarajio na …
-
Mtazamo Mpya kwa Marcus Rashford Habari za uhamisho zimezitikisa duru za soka, huku nyota mahiri wa Manchester United, Â Marcus Rashford atimkia Barcelona kwa mkopo. Uhamisho huu, uliokukamilika hivi karibuni, umekuwa …
-
Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limechukua hatua kali dhidi ya vilabu 12 barani humo, vikijumuisha majina makubwa kama Chelsea na Barcelona, kwa kukiuka kanuni zake za kifedha. Uamuzi huu …
-
Klabu ya Real Madrid imekubali kichapo cha mabao 4-3 kutoka kwa klabu ya Fc Barcelona katika mchezo wa ligi kuu ya soka nchini humo (La liga) uliofanyika katika uwanja wa …