Klabu ya Barcelona Fc imeibuka mabingwa wa kombe la mfalme la nchini Hispania (Copa De La Rey) baada ya kuifunga timu ya Real Madrid kwa mabao 3-2 katika mchezo mkali …
Barcelona
-
-
Kocha wa timu ya Barcelona Xavi Hernandez amekubali kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu hasa baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Villareal katika michuano …
-
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Manchester City kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania Ferran Torres kwa ada ya paundi milioni 46.7 ambayo baadae itapanda hadi kufikia paundi milioni 55 …
-
Klabu ya Manchester united imefikia makubaliano ya kiasi cha paundi milioni 10 na Marseille kwaajili ya kumchukua kiungo mkabaji Boubacar Kamara.Huo utakuwa usajili wa kwanza kwa kocha mpya wa muda …
-
Barcelona imekubali kipigo cha mabao 3-1 mbele ya Real madrid katika mchezo wa Laliga uliochezwa leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wao wa nyumbani wa Camp Nou. Real …
-
Barcelona Imekataa Ofa ya euro 150 milioni iliyowekwa Mezani kwa klabu inayodhaniwa,Manchester United kutoka kwa wakala wa Ansu Fati ili kukamilisha usajili wake. Manchester United ilitarajia kulipa ofa hiyo kwa …
-
Kocha wa zamani wa Ajax,Frank De Boer ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi kwa ajili ya kujaza pengo lililoachwa na Ronald Koeman ambaye kwa sasa anainoa …
-
Barcelona wamekubali kumwachia mshambuliaji wao,Luis Suarez kujiunga na washindani wakuu wa ligi kuu ya Uhispania (Laliga),Atletico Madrid. Suarez ametumia miaka sita ndani ya Barcelona ambapo amecheza jumla ya mechi 283 …
-
Beki wa kulia ambaye pia ni raia wa Ureno,Nelson Semedo ametua Wolverhampton Wanderers kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Barcelona. Kocha wa Wolves,Nuno Espirito Santo amefurahi kutua kwa beki huyo …
-
Lionel Messi ambaye ni mchezaji namba moja aliyeifungia mabao mengi Barcelona amerejea mazoezini jana baada ya jaribio lake la kulazimisha kuondoka kushindikana. Kufika kwa muargentina huyo na kufanya mazoezi inakuwa …