Lionel Messi ametangaza kubakia Barcelona msimu wa 2020/2021 kutokana na ugumu wa masuala ya kisheria yaliyomo kwenye mkataba wake yanayomzuia kuondoka ndani ya klabu hiyo. Manchester City itakosa huduma ya …
Barcelona
-
-
Taarifa zinaeleza kuwa mshambuliaji wa Barcelona,Lionel Messi aliitumia barua klabu yake jana Jumanne, ambapo barua hiyo ilikuwa inaeleza anataka kutumia kifungu kilichopo katika kandarasi yake ili kuweza kuondoka katika klabu …
-
Manchester United imeingia anga za Barcelona tayari kulipa pauni milioni 153 ili kupata saini ya, Ansu Fati ili ajiunge na kikosi hicho. Fati ameichezea Barcelona jumla ya mechi 33 kwenye …
-
Rais wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kusajiliwa kwa mchezaji wao wa zamani Ronald Koeman kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Koeman kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya …
-
Tetezi huko Hispania zinaeleza kuwa nyota wa kimataifa,Lionel Messi ametangaza kutimka zake Barcelona na tayari ameshawaeleza mabosi wake. Sababu kubwa inayomfanya mshambuliaji huyo kutaka kuondoka ni kutokana na udhalilishwaji wa …
-
Rais wa klabu ya Barcelona Jose Bartomeu amesema kuwa anaamini kuwa mshambuliaji wake Lionel Messi kuwa ataongeza mkataba wa mwaka moja licha ya kuhusishwa kutimka klabuni hapo. Mshambuliaji huyo mwenye …
-
Taarifa kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa staa wa klabu ya Barcelona Lionell Messi na kocha wa klabu hiyo Quique Setien wamemaliza tofauti zao baada ya kufanya mazungumzo ili kuinusuru klabu …
-
Arthur Melo amesaini kandarasi ya miaka 5 Juventus hadi 2025 akitokea klabu ya Barcelona baada ya klabu hizo kuamua kubadilishana na Miralem Pjanic akielekea upande wa Barcelona. Kiungo huyo amekamilisha …
-
Klabu ya Barcelona fc jana imerudi kileleli mw ligi ku nchini humo baada ya kuifunga klabu ya Athletic Bilbao kwa bao 1-o. Bao hilo lilifungwana kiungo raia wa Crotia Ivan …
-
Barcelona imehusishwa na usajili wa mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez 22 lakini afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Giuseppe Marotta anasema kwamba mchezaji huyo wa Argentina hajakuwa na hamu …