Sadio Mane wa Senegal yupo hatihati ya kukosa fainali za kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Quatar mwezi huu baada ya kuumia sehemu ya mguu wake katika mchezo baina ya klabu …
Bayern Munichen
-
-
Bayern Munich ambao ni mabingwa watetezi wa UEFA Champion League wamezidi kuwasha moto katika michuano msimu huu wa 2020/2021 baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Atletico Madrid …
-
Bayern Munich ya Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubingwa wa German Super Cup dhidi ya Borussia Dortmund katika mchezo wa fainali ulichezwa jana bila uwepo wa mashabiki viwanjani kutokana na kudhidi kujikinga …
-
Bayern Munich imenyooshwa kwa kuchapwa mabao 4-1 mbele ya Hoffenheim kwenye mchezo wa Bundesliga uliochezwa jana kwenye uwanja wa Rhein-Neckar. Mabao ya Hoffenheim yalipachikwa na Ermin Bicakcic dakika 16, Mu’nas …
-
Kiungo wa klabu ya Bayern Munchen Thiago Alcantara amekamilisha usajili wake kutua katika klabu ya Liverpool ya ligi kuu nchini Uingereza. Uhamisho huo umeigharimu Liverpool kiasi cha Paundi Milioni 27 …
-
Fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya kati ya mabingwa wa Ufaransa Pari Saint German(PSG )dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich ni kesho Agosti 23 majira ya saa nne usiku. …
-
Bayern Munich imeitungua mabao 3-0 Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya jana. Bao la kwanza na la pili lilipachikwa na Gnabry dakika …
-
Rais wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kusajiliwa kwa mchezaji wao wa zamani Ronald Koeman kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Koeman kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya …
-
PSG wamefanikiwa kuibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali ligi ya mabingwa ulaya baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon siku ya jana katika mchezo wa …
-
Klabu ya Bayern Munchen imezidi kujihakikishia kutwaa taji la nane mfululizo la Bundasliga baada ya kuifunga Borrussia Monchengladbach 2-1 mabao ya Leon Goretzka na Benjamin Pavard. Goretzka alifunga bao la …