Yanga Sc kupitia kwa mkurugenzi wa uwekezaji wa GSM,Hersi Said wamethibitisha kumuongezea mkataba beki wao wa kimataifa,Lamine Moro ambaye iliripotiwa kuwa mkataba wake unakaribia kufikia ukingoni msimu ujao 2021. Lamine …
beki
-
-
Kipa namba moja wa Azam FC,David Kissu ameweka rekodi ya kuwa kipa pekee ligi kuu bara baada ya kucheza dakika 360 sawa na mechi nne bila kuruhusu bao lolote. Kissu …
-
Beki wa kulia ambaye pia ni raia wa Ureno,Nelson Semedo ametua Wolverhampton Wanderers kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Barcelona. Kocha wa Wolves,Nuno Espirito Santo amefurahi kutua kwa beki huyo …
-
Beki wa Yanga Sc,Lamine Moro ana hatihati ya kukosa mchezo wa Septemba,6 dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa majira ya saa 1:00 usiku uwanja wa Mkapa kutokana na jeraha la goti …
-
Wolves, Newcastle na Everton ni miongoni mwa vikosi zinavyowania saini ya beki wa Arsenal Maitland-Niles ambaye anatazamiwa kuondoka Emirates mwishoni mwa Agosti, 2020. Beki huyo ambaye pia ni mzaliwa wa Uingereza …
-
Namungo Fc imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Yanga Sc, Jaffar Mohammed kwa mkataba wa mwaka mmoja. Usajili wa beki huyo unaenda kuongeza nguvu eneo la ulinzi kwa lengo la …
-
Beki wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ amesaini dili la miaka miwili leo Agosti 6 kuitumikia klabu ya Yanga akitokea MFK Vyskov ya Serbia. Ninja alirejea nyumbani Tanzania baada ya …
-
Beki mtanzania anayekipiga ndani ya klabu ya Nkana nchini Zambia, Hassan Kessy yupo kwenye mjadala wa Kamati ya usajili wa Yanga na jina lake limekabidhiwa kwa Kocha Mkuu wa timu …
-
Huu ndio muonekano mpya wa beki wa Simba, Pascal Wawa baada ya kukaa kipindi cha mpito ndani ili kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona akiwa nje ya kambi ya …
-
Beki wa klabu ya Bursa Yildirim Spor, Cevher Tokts ambaye ni raia wa Uturuki amekiri kumuua mtoto wake kwa kuwa alikuwa hampendi na kujisalimisha polisi. Tukio hilo la mauaji …