Mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Bigirimana Blaise amesema mchezo wa kesho dhidi ya Simba utakuwa mgumu lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri katika nafasi tatu …
bigirimana
-
-
Taarifa za kuaminikia kutoka ndani ya viunga vya Yanga imebainisha kuwa nyota Issa Bigirimana na Maybin Kalengo hawatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kuelekea usajili wa dirisha dogo Nyota hao …
-
Iko hivi mastaa wawili wa klabu ya Yanga Mybin Kalengo na Issa Bigirimana wamerejea nchini kwao kwenda kujiuguza majereaha waliyoyapata wakati wakiitumikia timu hiyo hapa nchini. Kalengo amerejea nchini Zambia …
-
Inaelezwa kua uongozi wa Yanga unaweza kutemana na mastaa kadhaa wa kimataifa baada ya kushindwa kulishawishi benchi la ufundi la timu hiyo kutokana na kushindwa kuonyesha viwango vizuri katika mechi …
-
Kiungo mshambuliaji mpya wa klabu ya Yanga sc Issa Bigirimana amedai halioni lango anapokua anaichezea klabu hiyo kutokana na kupigwa misumari (Kurogwa) na mchezaji mwenzake wa timu hiyo. Mchezaji huyo …
-
Licha ya kusajiliwa kwa mbwembe na majigambo mengi kwa wanajangwana mpaka sasa Issa Bigirimana hajaonyesha kile ambacho wanayanga wengi walikitarajia kutoka kwake licha ya kuwahi kuungana na timu mkoani Morogoro …
-
Mshambuliaji mpya wa Yanga sc Issa Bigirimana “walcot” amesisitiza kuwa anawafahamu vizuri timu ya As vita baada ya kukutana nao mara kadhaa akiwa na Apr ya Rwanda hivyo hana wasiwasi …
-
Mshambualiji mpya wa klabu ya Yanga Issa Bigirimana amekana kuwa na mkataba na klabu ya Apr ya Rwanda baada ya waajiri wake hao kutoa taarifa ya kuwa na mkataba na …