Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Alliance ya jijini Mwanza Athuman Bilal “Billo”ameamua kuachana na klabu hiyo baada ya kuiongoza katika mechi moja ya ligi kuu pekee. Kocha huyo aliyejiunga …
Tag:
billo
-
-
Timu ya Alliance Fc imefikia makubaliano na kocha Athuman Bilali “Bilo”kuifundisha timu hiyo kwa kumpa mkataba wa miaka miwili ili kuongoza benchi la ufundi la timu hiyo yenye makazi yake …