Simba Sc
Bodi ya ligi
-
-
Pacome Zouzoua Atwaa Tuzo
-
Hali ni tete katika kambi ya timu ya Tabora United kufuatia mastaa wa timu hiyo kutishia kugomea mchezo wa mwisho wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union mpaka pale madai …
-
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha leo kushiriki kikao maalumu na bodi ya ligi kuu Tanzania kwa ajili ya kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa ligi kuu ya Nbc dhidi …
-
Mwamuzi Hery Sasii amefungiwa miezi sita kufuatia kushindwa kumudu mchezo wa #Ligi kuu ya Nbc nchini kati ya Simba dhidi ya Singida Black stars kwa kufanya maamuzi mengi yaliyoashiria kushindwa …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Stephen Desse Mukwala amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Nbc kwa mwezi machi akiwashinda Ellie Mpanzu na Pascal Msindo wa klabu ya …
-
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mh.Palamagamba Kabudi amekutana na viongozi wa klabu za Simba sc na Yanga pamoja na wale wa Shirikisho la soka nchini sambamba na Bodi ya …
-
Bodi ya ligi kuu nchini imefanya mabadiliko madogo katika ratiba ya ligi kuu nchini ambapo klabu ya Simba Sc sasa itapambana na Singida Black Stars siku ya Disemba 28 mwaka …
-
Taarifa kutoka nchini Ubelgiji zinadai kuwa staa wa klabu ya Coastal Union Lameck Lawi yuko mbioni kurejea nchini baada ya kufeli majaribio katika klabu ya K.A.A Gent inayoshiriki ligi kuu …
-
Wachezaji wa klabu ya Simba Sc, Kibu Denis na Mzamiru Yassin wametozwa faini ya Tsh 1,000,000 kila mmoja kwa kosa la kuondoa taulo la mlinda mlango wa Coastal Union, Ley …