Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Meddie Kagere amefanikiwa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi machi mwaka huu kwa mujibu wa bodi ya ligi kuu Tanzania bara. Kagere ametwaa …
boko
-
-
Nahodha wa klabu ya Simba sc John Boko ameanza rasmi mazoezi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa baada ya kupata jeraha katika mchezo wa kimataifa wa kufuzu klabu bingwa …
-
Rasmi imethibitishwa nyota wawili wa klabu ya Simba sc Ibrahimu Ajibu na John Boko wataukosa mchezo wa kalbu bingwa Afrika dhidi ya Ud songo y Msumbiji baada ya wawili hao …
-
Bado haijafahamika kama mshambuliaji wa Simba sc John Boko atakua fiti kucheza mchezo wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Ud Songo baada ya kupata maumivu katika mchezo dhidi ya Azam …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) imejiweka katika mazingira magumu kufuzu katika michuano ya Afcon baada ya jana kulazimishwa suluhu na Kenya katika mchezo wa kwanza uliofanyika uwanja wa taifa …
-
Baada ya Simba sc kuthibitisha kumuongezea mkataba mshambuliaji John Boko wa miaka miwili utata umezuka baada ya taarifa kusambaa kuwa mchezaji huyo pia alisaini mkataba wa awali na Polokwane City …
-
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu. Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc …