Saa saba ya maajabu msimbazi imewadia kwa timu hiyo kumpa mkataba wa miaka miwili Beki wa Kimataifa kutoka Brazil Gerson Fraga Vieira mwenye miaka 26 akitokea katika Timu ATK ya …
Tag:
brazil
-
-
Timu ya taifa ya Brazil imeibuka na ushindi mnono wa mabao matano kwa bila dhidi ya Peru katika mchezo wa mwisho wa timu hiyo katika hatua ya makundi hivyo kukaa …
-
Baada ya jana kukamilisha usajili wa kiungo kutoka Sudan,Klabu ya Simba sc hivi leo imekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka nchini Brazil Wilker Henrique Da Silva kwa mkataba wa miaka miwili …
-
Simba kumenoga ndio msemo ambao unatamba kijiweni hivi sasa baada ya mabosi wa klabu hiyo kuamua kushusha mziki kamili baada ya kumaliza kuwasainisha mastaa waliomaliza mikataba yao ndani ya klabu …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Brazil Adenor Bacchi maarufu kama Tite amemuita winga wa chelsea ya Uingereza Wilian kuchukua nafasi ya Neymar katika kikosi cha timu ya taifa hilo …
Older Posts