Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumaliza ligi kuu nchini Uingereza kwa kishindo baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Leicester City katika uwanja wa King …
bruno fernandes
-
-
Kiungo sukari wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes ameibuka mchezaji bora wa mwezi juni kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwa na msimu mzuri klabuni hapo. Bruno aliyechangia …
-
Ujio wa kiungo Bruno Fernandes umeonekana kuifufua klabu ya Manchester United baada ya kuendeleza wimbi la ushindi ambapo leo wamefanikiwa kuifunga timu ya Afc Bournemouth mabao 5-2. Makosa ya Harry …
-
Timu ya Manchster United imeendelea kukomalia nafasi nne za juu baada ya jana kuifunga timu ya Brightons mabao 3-0 huku Bruno Fernandes akiendelea kuonyesha kiwango kizuri baada ya kufunga mabao …
-
Kiungo wa kati katika klabu ya Manchester United ,Bruno Fernandes alijiunga na wahisani wengine katika kupambana na virusi vya Corona kwa kusambaza msaada wa chakula Ureno. Fernandes mwenye umri wa …
-
Staa wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes amekubali uwezo wa staa wa klabu hiyo Paul Pogba ambaye alikua nje ya uwanja kutokana na majeraha ya mguu. Bruno ambaye toka …
-
Staa wa klabu ya Manchester United Paul Pogba yupo tayari kusaini mkataba mpya na kubaki Manchester United ili kucheza pamoja na Bruno Fernandes . Pogba amevutiwa na kiwango cha Bruno …
-
Kiungo mpya wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes ameendelea kung’ara katika kikosi cha timu hiyo baada ya jana kuisaidia kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Watford katika …
-
Hatimaye tetesi za muda mrefu kuhusu usajili wa kiungo Bruno Fernandes kutoka Sporting Lisbon kwenda Man United zimefika kikomo baada ya dili hilo kukamilika rasmi. Sporting wamethibitisha taarifa za kumuuza …
-
Imeripotiwa kwamba ule mpango wa klabu ya Manchester United kumsajili kiungo wa Ureno na klabu ya Sporting Lisbon Bruno Fernandez umekufa rasmi baada ya klabu hizo kushindwa kufikia makubaliano. Chanzo …