Rais wa Shirikisho la soka nchini Cameroon (Fecafoot) Samuel Etoo ameandika barua ya kujiuzuru nafasi yake hiyo kutokana na timu ya Taifa ya nchini kufanya vibaya katika michuano ya mataifa …
Cameroon
-
-
Baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Nigeria katika michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon 2024) katika hatua ya 16 bora kocha wa timu ya Taifa ya Cameroon …
-
Bingwa mtetezi wa Fainali ya Mataifa Afrika (Afcon) Timu ya Taifa ya Senegal imetinga hatua ya 16 bora baada ya kuichapa Cameroon mabao 3-1 leo katika Uwanja wa Charles Konan …
-
Timu ya Taifa ya Cameroon imefanikiwa kufuzu kombe la Dunia nchini Qatar mwakani baada ya kufanikiwa kuifunga Algeria mabao 2-1 ugenini katika uwanja wa Mustapha Tchaker. Cameroon iliingia mchezoni ikiwa …
-
Timu ya taifa ya Comoro imetolewa katika michuano ya Afcon 2022 nchini Cameroon baada ya kukubali kichapo cha mbao 2-1 kutoka kwa wenyeji Cameroon licha ya Comoro kucheza kwa muda …
-
Wenyeji wa michuano ya kombe la Mataifa Afrika Cameroon wamekuwa wa kwanza kutinga hatua ya mtoano wa michuano hiyo baada ya hapo jana kupata ushindi wa 4-1 dhidi ya Wahabeshi …
-
Fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) yaliyotakiwa kufanyika mwaka huu nchini Cameroon yamesogezwa mbele na sasa ni rasmi yatafanyika mwaka 2021 mwezi januari. Tanzania …
-
Steve Mvoue, son to former Indomitable Lioness skipper Marie Mvoue is eying a spot in Cameroon’s provisional 34-man squad for the finals. The strong and pacy 17-year-old who made AFCON …