Klabu ya Manchester United imefanikiwa kuwa mabingwa wa kombe la Carabao Cup baada ya kuifunga klabu ya Newcastle United kwa maba0 2-0 katika mchezo mkali uliofanyika katika uwanja wa Wembley …
carabao cup
-
-
Licha ya kucheza pungufu kwa takribani dakika 60 za mchezo wa nusu fainali ya kombe la carabao washika bunduki wamefanikiwa kutoa sare ya bila kufungana dhidi ya Liverpool. Mchezo huo …
-
Hatimaye vilabu vine vitakvyoshiriki nusu fainali ya kombe la carabao vimepatikana mara baada ya michezo mingine mitatu ya robo fainali kuchezwa usiku wa kuamkia leo na kushuhudia Tottenham,Chelsea na Liverpool …
-
Kinda wa Arsenal Eddie Nketia ameiongoza Arsenal kufuzu nusu fainali ya kombe la ligi maarufu kama carabao cup baada ya kuwachakaza Sunderland kwa kipigo kikubwa cha 5-1 usiku wa kuamkia …
-
Mchezo wa Kombe la Carabao hatua ya 16 bora uliochezwa jana uwanja wa Tottenham Hotspur kati ya Chelsea na Tottenham Hotspurs ulikuwa na ushindani mkubwa na dakika 90 zilikamilika kwa …
-
Tottenham Hotspurs wamepata tiketi ya moja kwa moja kushiriki hatua ya 16 bora ya Carabao Cup baada ya mchuano wa raundi ya tatu uliowataka kukutana na LeytonOrient kufutiliwa mbali. Hatua …