Uongozi wa Klabu ya Yanga sc umethibitisha kupokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi yao namba CAS 2025/A/11298 iliyoifungua kupinga maamuzi ya bodi ya …
Cas
-
-
Klabu ya Yanga Sc ya imerudishwa kwenye ngazi za maamuzi za ndani katika kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS) dhidi ya Shirikisho la soka Tanzania …
-
Mahakama ya usuluhishi wa masuala ya michezo duniani (CAS) imethibitisha rasmi kuwa imepokea barua rasmi kutoka klabu ya Yanga Sc juu ya malalamiko yao kwa TFF, Bodi ya Ligi na …
-
Wakala anayemsimamia mchezaji Feisal Salum ajulikanaye kama Salum Nduruma amethibitisha kuwa mchezaji huyo atakata rufaa katika mahakama ya michezo ya kimataifa (Cas) katika suala lake la mgogoro wa kimkataba na …
-
Winga wa Taifa Stars Simon Msuva ameshinda kesi dhidi ya klabu ya Wydad Casablanca juu ya madai ya mishahara yake na fedha za usajili ambazo hakulipwa kipindi anaichezea klabu hiyo …
-
Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco imepeleka malalamiko yake FIFA kwenye idara ya usuluhishi wa kesi za michezo (Cas)juu ya mchezaji wao raia wa Tanzania, Simon Msuva kwa kukiuka vigezo …
-
Klabu ya soka ya Manchester City ya nchini England, imefungiwa kwa miaka miwili kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya. Adhabu hiyo imetolewa na Shirikisho la soka barani Ulaya …