Timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la vijana la ukanda wa soka wa Afrika mashariki na kati (Cecafa) …
cecafa
-
-
Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza kwamba klabu 16 zitashiriki michuano ya Kagame Cup inayotarajiwa kuanza Julai 6 hadi 22 mwaka huu Visiwani …
-
Jacob Mulee ametangazwa jana Octoba 21 na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Kenya (FKF),Nick Mwendwa kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Hrambee Stars. Mulee mwenye …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) imekubali kipigo cha bao moja kutoka kwa Harambee Stars katika mchezo wa michuano ya chalenji uliofanyika katika uwanja wa KCCA nchini Uganda. …
-
Timu ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imetoka sare na timu ya taifa ya Sudan katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya chalenji uliochezwa katika uwanja wa KCCA nchini Uganda …
-
Timu ya taifa ya wanawake nchini(Kilimanjaro queens) imeshindwa kutetea ubingwa wa kombe la Chalenji baada ya jana kufungwa mchezo wa fainali kwa mabao 2-0 na Kenya katika uwanja wa chamazi …
-
Timu ya soka ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya chalenji baada ya kuwafunga Uganda katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika uwanja wa …
-
Baada ya kutupwa nje ya mashindano ya Cecafa wanawake 2019 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Queen’s Mohammed Ally salah amesema kuwa kitendo cha kikosi chao kuruhusu magoli …
-
Timu ya taifa ya Kenya ya Wanawake imeibuka na ushindi wan magoli 12-0 dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya Djibout katika mchezo wa mashindani ya Cecafa chalenji ya …
-
Timu ya taifa ya Wanawake ya Tanzania Bara(Kilimanjaro queens) imeibuka na ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Burundi katika mchezo wa michuano ya kombe la chalenji kwa wanawake inayoendelea nchini. …