Timu ya soka ya taifa ya wanawake Kilimanjaro Queens imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya chalenji baada ya kuwafunga Uganda katika mchezo wa nusu fainali uliofanyika uwanja wa …
chalenji
-
-
Timu ya taifa ya Kenya ya Wanawake imeibuka na ushindi wan magoli 12-0 dhidi ya timu ya taifa ya wanawake ya Djibout katika mchezo wa mashindani ya Cecafa chalenji ya …
-
Timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) imetwaa ubingwa wa michuano ya kombe la chalenji kwa vijana iliyofanyika nchini Uganda baada ya kuifunga Kenya kwa bao 1-0 katika …
-
Timu ya soka ya vijana ya Tanzania(Ngorongoro) heroes imefanikiwa kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya chalenji inayofanyika nchini Uganda baada ya kuwafunga wenyeji uganda kwa mabao 4-2 katika …
-
Timu ya soka ya vijana ya Tanzania (ngorongoro heroes) imeifunga timu ya vijana ya Zanzibar kwa mabao 5-0 katika michuano ya chalenji inayoendelea nchini Uganda. Mshambuliaji Kelvin John “Mbappe” alipeleka …