Mastaa Yao Kouasi Attouhoula na Cletous Chama wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Tp Mazembe unaofanyika leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa kutokana na majeraha …
chama
-
-
Staa mpya wa klabu ya Yanga sc Cletous Chama hatimaye ameripoti kambini Avic Town na kuanza mazoezi na mastaa wapya wa klabu hiyo kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu …
-
Mapema asubuhi ya leo klabu ya Yanga sc imemtambulisha kiungo mshambuliaji Cletous Chama kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo akijiunga kwa mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwingine …
-
Kiungo Cletous Chama anaweza kujiunga na klabu ya Yanga sc wakati wowote kuanzia sasa baada ya kukubaliana maslahi binafsi na klabu hiyo huku mpaka sasa mazungumzo yake na klabu ya …
-
Kocha wa timu ya Taifa ya Zambia Avram Grant ameamua kumtema kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama katika kikosi cha wachezaji watakaojiunga na kambi ya timu hiyo kujiandaa …
-
Klabu ya Simba sc imeamua kumsamehe kiungo wake Cletous Chama baada ya kumsimamisha kwa muda kutokana na tatizo la utovu wa nidhamu ambalo lilitokea mwaka jana kuelekea mchezo wa ligi …
-
Uongozi wa klabu ya Simba sc umetangaza kumsimamisha kiungo Cletous Chama pamoja na Nassoro Kapama kwa tuhuma za utovu wa nidhamu kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa klabu …
-
Licha ya msafara wa pili wa klabu ya Simba sc kuondoka kuelekea kambini nchini Uturuki bado staa wa timu hiyo Cletous Chama amebaki jijini Dar es salaam ikitaarifiwa kuwa kuna …
-
Mastaa wa ligi kuu nchini Tanzania Kennedy Musonda na Clotous Chama wameitwa katika kikosi cha Chipolopolo chini ya kocha Avram Grant kwa ajili ya michizo ya awali ya kuwania kufuzu …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Cletous Chama pamoja na kocha wake Juma Mgunda kwa pamoja wametwaa tuzo ya mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Disemba mwaka jana …