Kikosi cha timu ya Taifa Stars imesafiri kuweka kambi nchini Misri alfajiri ya leo Julai 09 baada ya jana Julai 8 kuingia kambini jijini Dar es salaam kujiandaa na michuano …
chan
-
-
Uwanja wa Taifa wa Kasarani uliopo jijini Nairobii nchini Kenya umechaguliwa kuwa uwanja utakaofanyika mchezo wa fainali wa Kombe la Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, ambalo linafanyika nchini Kenya,Tanzania na …
-
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Benni McCarthy anaendelea kusubiri ushindi wake wa kwanza kama kocha wa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars kufuatia sare tasa dhidi ya Chad kwenye …
-
Shirikisho la Soka barani Afrika (Caf) limesogeza mbele michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) iliyokua inatarajiwa ianze kutimua vumbi kuanzia 01 Februari 2025 hadi 28 Februari …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepoteza mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) baada ya kukubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa …
-
Fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) yaliyotakiwa kufanyika mwaka huu nchini Cameroon yamesogezwa mbele na sasa ni rasmi yatafanyika mwaka 2021 mwezi januari. Tanzania …
-
Shirikisho la soka barani Afrika-CAF kesho na keshokutwa(Machi 14 na 15,2020) Litaitembelea Cameroon ambao ni Mwenyeji wa mashindano ya wachezaji wanaocheza ligi za ndani barani Africa-CHAN. Pamoja na mambo mengine …
-
Timu ya Yanga sc imewasil jijini mwanza asubuhi ya leo kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya ligi kuu dhidi ya Mbao fc,Alliance na ule wa kimataifa dhidi ya Pyramids …
-
Mabao ya Erasto Nyoni na Ditram Nchimbi yametosha kuifikisha timu ya taifa ya Tanzania katika fainali za michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) zitakazofanyika mwakani nchini …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa stars) kesho itashuka uwanjani kupambana na Sudan katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya afrika kwa wachezaji wa ndani zitakazofanyika nchini Cameroon mwaka …