Bodi ya ligi kuu Tanzani imetolea ufafanuzi ombi la kocha mkuu wa klabu ya Azam fc Aristica Cioaba aliyeomba kuongezwa idadi ya wachezaji wa kufanyia mabadiliko kutoka watatu mpaka watano. …
Tag:
cioaba
-
-
UONGOZI wa Azam FC, unayofuraha kuwataarifu kuwa tumekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Khleffin Hamdoun, kwa mkataba wa miaka minne akitokea Mlandege ya Zanzibar. Huo unakuwa usajili wa kwanza kwa …
-
Klabu ya Azam fc leo imemtambulisha rasmi kocha Aristica Cioaba kama kocha mkuu wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ettiene Ndayiragije ambaye anakwenda kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa …