Beki wa klabu ya Coastal union Lameck Lawi hatimaye amerejea nchini baada ya kushindwa kufuzu majaribio yake katika klabu ya K.A.Gent ya nchini Ubelgiji huku akisubiri uamuzi wa Kamati ya …
Tag:
Coasta Union
-
-
Klabu ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga iko mbioni kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa klabu ya AS Vita na Yanga Djuma Shaban kwa mkataba wa mwaka …