Mchezo wa ligi kuu nchini kati ya Singida Big Stars na Coastal Union ya mkoani Tanga umemalizika katika uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga bila mbabe baada ya kutoka sare ya …
coastal union
-
-
Klabu ya Yanga sc imeendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi ku nchini baada ya kuichapa Coastal Union kwa mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa …
-
Ni balaa tupu kombinesheni ya wachezaji wa Yanga sc hasa Benard Morrison na Fiston Mayele ambao wameiwezesha klabu ya Yanga sc kuibuka na ushindi wa mabao mawili dhidi ya Coastal …
-
Kesho ndio siku ya kulipiza kisasi ndivyo wanavyosema mashabiki wa klabu ya Coastal union baada ya kufungwa katika mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho na klabu ya Yanga sc …
-
Ilikua ni ahadi lakini imekua kweli baada ya klabu ya Yanga sc kufanikiwa kushinda taji la tatu la msimu huu baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho kwa kuifunga …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo muhimu wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union uliofanyika jijini Tanga baada ya kuifunga kwa jumla ya magoli 2-1 katika …
-
Klabu ya Coastal Union yenye makazi yake jijini Tanga imeripotiwa kuwa ipo mbioni kumrejesha kocha Juma Mgunda kuifundisha klabu hiyo baada ya kuachana nayo kumpisha Mbrazil Melis Medo. Awali klabu …
-
Ndio mchezo umeisha kwa klabu ya Azam Fc baada ya kulazimishwa suluhu na Coastal Union katika uwanja wake wa nyumbani wa Chamazi katika mchezo wa ligi kuu uliomalizika jioni ya …
-
Klabu ya Simb imeibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Mabao …
-
Mechi ya ligi kuu bara raundi ya sita kati ya Kmc na Coastal Union iliyochezwa leo Octoba 14,uwanja wa Uhuru imewagawanisha pointi mojamoja timu zote mbili baada ya kutoka suluhu. …