Rais wa Shirikisho la soka nchini Tanzania Wallace Karia amechaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya shirikisho la soka barani Afrika(CAF) itakayokua inaongozwa na Rais wa Shirikisho hilo Patrice …
Confederation of African Football (CAF)
-
-
Kocha wa klabu ya Al Hilal Omdurman Florent Ibenge amesema kuwa mchezo baina ya klabu yake dhidi ya Yanga sc ni mchezo mgumu lakini sio muhimu sans kwake kwa kuwa …
-
Staa wa klabu ya Simba Sc Mohammed Hussein amesema kuwa mchezo dhidi ya timu ya Bravos ya Angola sio rahisi kutokana na timu hiyo kuwa na wachezaji wazuri. Hussein amesema …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Sc Clement Mzize, amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Mchezaji huyo mwenye …
-
Mastaa Yao Kouasi Attouhoula na Cletous Chama wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Tp Mazembe unaofanyika leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa kutokana na majeraha …
-
Klabu ya Simba Sc imesafiri kuelekea nchini Algeria kuvaana na klabu ya Fc Constantine ya nchini humo katika mchezo wa hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo …
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imekubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya Dr Congo katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika …
-
Klabu ya Yanga sc imepangwa katika kundi gumu la michuano ya klabu bingwa barani Afrika ambapo imepangwa kundi B sambamba na timu za Al Hilal Fc ya nchini Sudan,Tp Mazembe …
-
Klabu ya Simba Sc imepangwa katika kundi A la michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika katika droo iliyofanyika nchini Misri katika makao makuu ya Shirikisho la Soka barani Afrika …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Klabu ya Cbe SA ya nchini Ethiopia katika mchezo wa marudiano wa hatua ya pili ya michuano …