Wachezaji wa Juventus wote wamelazimika kujitenga kwa ridhaa baada ya kiungo wa timu hiyo,Weston McKennie kuthibitika kukutwa na Virusi vya Corona. Weston ambaye ndiye mchezaji wa pekee wa Juventus alijiunga …
Tag:
COVID-19
-
-
Baba mzazi wa staa anayeichezea As Roma,Francesco Totti,Enzo amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76 baada yakupata shambulio la moyo miaka michache iliyopita huku akikumbwa na corona iliyomuweka katika …
-
Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar ,Zuberi Katwila ameahidi kurudi kwa kasi na kutoa ushindi wa hali ya juu pindi ligi kuu bara itakaporejea baada ya kusimamishwa na serikali ili kupambana …