Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua ubingwa wa kombe la shirikisho la Crdb nchini baada ya kuifunga timu ya Singida Black Stars kwa mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika Visiwani Zanzibar …
CRDB CUP
-
-
Benki ya Crdb nchini ambao ndio wadhamini wakuu wa kombe la shirikisho nchini wamekana kudaiwa fedha za aina yeyote zinazohusu michuano hiyo kwa maana wao wameshalipa kwa mujibu wa utaratibu …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga Sc kimeanza safari leo Mei 16Â kuelekea Mkoani Tanga leo Asubuhi Mei 16 , 2025 na tayari kimewasili mchana huu kwa ajili ya mchezo wao …
-
Ushindi wa mabao 2-1 ilioupata klabu ya Simba Sc dhidi ya Klabu ya Bigman Fc umeivusha moja kwa moja katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Crdb …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya kombe la Shirikisho nchini baada ya kuifunga timu ya Coastal Union kwa mabao 3-1 katika mchezo wa …
-
Msafara wa klabu ya Pamba jiji Fc umepata ajali maeneo ya Bahi mkoani Dodoma ukiwa njiani kutokea Bukoba mkoani Kagera kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa kombe la …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka mabingwa wa kombe la Shirikisho la Crdb baada ya kuifunga Azam Fc kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya kila timu kupiga penati 9 …
-
Kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara 2023/2024, Yanga kimewasili jijini Arusha leo na kitacheza mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya Ihefu Mei 19, 2024 …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho la Crdb baada ya kuifunga Tabora United 3-0 katika mchezo wa robo fainali uliofanyika …
-
Kocha wa klabu ya Yanga Sc Miguel Gamondi amesema kwamba bado mashabiki wa Yanga Sc wasitegemee uwepo wa Pacome ZouZoua kwani bado hajawa sawa kwa asilimia 100% na anaweza kuwepo …