Mabingwa wa kihistoria nchini Yanga sc imemsajili na kumtambulisha mlinzi wa kati wa mabingwa wa Zanzibar KMKM Ibrahim Bacca kwa mkataba wa miaka miwili kukipiga Jangwani. Kitasa huyo alikuwa kwenye …
Tag:
daima mbele nyuma mwiko
-
-
Uongozi wa klabu ya Azam fc hatimaye wamekubali ombi la kiungo wao Salum Abubakar ‘’sure boy’’ kuondoka katika klabu hiyo yenye makazi yake Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar …
-
Kocha msaidizi wa timu za Taifa za wanawake Edna Lema(Mourinho) amerejeshwa tena kwenye kikosi cha wanawake cha Yanga Princess baada ya kukikacha kikosi hicho mwezi Juni mwaka huu kufuatia kupishana …